Msaada kisheria unahitajika hapa wajuzi wa sheria.

Asante mkuu umefunguacmwanga
 
Kuua kwa kukusudia adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Kuua bila kukusudia adhabu yake ni mwaka mmoja hadi maisha jela. Shambulio la kudhuru mwili ni jela siku moja hadi miaka kumi na tano.
Sawa mkuu ila mhh had kufa na maisha yote jela ndo napawazia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…