Msaada kisheria

Msaada kisheria

Mkimbizi99

Senior Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
103
Reaction score
139
Habari,

Niende direct kwenye point nahitaji msaada wa kisheria katika makabidhiano ya bidhaa kwa wasambazaji wangu, hivi natakiwa nifanye nini ama nichukue hatua gani kabla ya kufanya makabidhiano ya bidhaa na wasambazaji ili kuepuka/kukabiliana utapeli wa aina yoyote utakaojitokeza mbeleni.
 
Bro inabid uamdae mkataba na uptiwe na mwanasheria then uwa sainishe wakat unawap bidhaa hizoo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bro inabid uamdae mkataba na uptiwe na mwanasheria then uwa sainishe wakat unawap bidhaa hizoo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuandaa memorandam of understanding au contract nitafute
 
Back
Top Bottom