Mkimbizi99
Senior Member
- Jul 18, 2020
- 103
- 139
Habari,
Niende direct kwenye point nahitaji msaada wa kisheria katika makabidhiano ya bidhaa kwa wasambazaji wangu, hivi natakiwa nifanye nini ama nichukue hatua gani kabla ya kufanya makabidhiano ya bidhaa na wasambazaji ili kuepuka/kukabiliana utapeli wa aina yoyote utakaojitokeza mbeleni.