Habari wadau,nimesimamishwa kazi toka mwaka jana mwezi wa6 kutokana na mwajiri kukosa kazi tukakubaliana ikipatikana kazi nyingine nitarudishwa kazini nimekaa muda wote nikisubiri kazi cha kushangaza mwajiri amepata kazi hajaniita kazini kinyume na makubariano yetu je hapo wakuu sijaonewa.
Naomba mwenye kujua mwanasheria anayeweza kunisaidia kwa hilo nimeumizwa sana kwa hili jambo nipo tayari kupoteza hata maisha kwa haki yangu hii familia yangu ipo ktk hali mbaya kifedha
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums