Msaada kisheria

Msaada kisheria

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,493
Reaction score
361
Habari wadau,nimesimamishwa kazi toka mwaka jana mwezi wa6 kutokana na mwajiri kukosa kazi tukakubaliana ikipatikana kazi nyingine nitarudishwa kazini nimekaa muda wote nikisubiri kazi cha kushangaza mwajiri amepata kazi hajaniita kazini kinyume na makubariano yetu je hapo wakuu sijaonewa.
Naomba mwenye kujua mwanasheria anayeweza kunisaidia kwa hilo nimeumizwa sana kwa hili jambo nipo tayari kupoteza hata maisha kwa haki yangu hii familia yangu ipo ktk hali mbaya kifedha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mwenye kumjua mwanasheria mwenye kuweza kunisaidia kisheria ani pm namba yake mwanasheria plse!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom