Msaada, KITAMBI changu kimegoma kutoka licha ya mazoezi makali.

nenda Facebook au Whatsaap toa status yakumtukana bakayoko ...baada ya week 2 ..njoo hapa utupatie mrejesho
 
Nenda Facebook m like Dr boazi mkumbo MD Kazi rahisi sana kukiondoa Mimi nilikuwa muhanga Wa kitambi sasa kimepotea
 
Daah pole sana kaka..... Jalibu kufanya mazoezi ya kupunguza kitambi.... Kuna special workout kwa ajili ya kupunguza kitambi....
 
Acha kufanya mazoezi

Acha kunywa juice na bites


Kunywa maji tu na labda usiku kunywa kikombe cha kahawa na kashata 2 tena moja ndio uzuri 2 nyingi

Fanya kwa wiki 2 kama kitambi hakijaisha njoo nikate makofi
Kama una allergy na gahawa mbadala wake nn?
 
Juice ya ndimu kila mara kunywa maji ya moto kila cku asubuhi,na ule mchana tu,jion matunda au chai na mkate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…