hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
HAHAAAAAAAAMazoezi ya nini kooote huko, dawa pekee nenda uchukue mkopo mkubwa utanyooka km nguzo ya umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHAAAAAAAAMazoezi ya nini kooote huko, dawa pekee nenda uchukue mkopo mkubwa utanyooka km nguzo ya umeme
Sijawahi tumia.Mara ya mwisho kutumia dawa ya minyoo ni lini?
Kiongozi ni vyema ukachukua hatua ya kutafuta hizo dawa mara mojaSijawahi tumia.
Kama una allergy na gahawa mbadala wake nn?Acha kufanya mazoezi
Acha kunywa juice na bites
Kunywa maji tu na labda usiku kunywa kikombe cha kahawa na kashata 2 tena moja ndio uzuri 2 nyingi
Fanya kwa wiki 2 kama kitambi hakijaisha njoo nikate makofi
Lola=rollerFanya mazoezi ya kata tumbo au nunua Lola ya mazoezi within 2 week utaona mabadiliko mzee nenda kwawauza vifaa vya mazoezi nunua Lola
Toooobaaaa!!!.Mazoezi ya nini kooote huko, dawa pekee nenda uchukue mkopo mkubwa utanyooka km nguzo ya umeme
Toooobaaaa!!!.Mazoezi ya nini kooote huko, dawa pekee nenda uchukue mkopo mkubwa utanyooka km nguzo ya umeme