Msaada kiti moto maeneo ya Ubungo

Msaada kiti moto maeneo ya Ubungo

Katufu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
523
Reaction score
309
Naomba mnisaidie kujua sehemu ambayo naweza kupata kiti moto kizuri maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam. Asanteni sana.
 
Sogea sogea maeneo ya shekilango,ulianzia mtu yoyotpe kitimoto inapopatikana watakuelekeza..
 
Nenda Kosovo! Pitia pembeni ya Kibadamo..
 
Naomba mnisaidie kujua sehemu ambayo naweza kupata kiti moto kizuri maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam. Asanteni sana.

Nenda Pale pembeni ya Mic Hotel,Au Shekilango Opposite na San Siro,au hapa juu karibu na Kibo River Road Bar.
 
Asante saana wooote, mbarikiwe sana
 
Njoo msewe,kimara kona,shekilangi,ubungo mtaa wa nbc opposite na mic hotel ukikosa kote huko sema tukupe vijiwe zaidi
 
nenda port acces.mkabala na mabibo hostel
 
Back
Top Bottom