for sure .... financial plan is inclusive on the BP ... profit and loss account .... IRR and Return on investment
as well payback period
Process line ya kutengeneza toothpicks au vijiti vya mishikaki inajumuisha aina ya machine nane 8 .... very simple mashines .... ni vimashine kama zile za kukereza miguu ya stuli
Karibu
Nshafatilia online kuhusu mashine za kutengeneza toothpick zipo hata za kuoperate mtu mmoja, yani hauhitaji kuwa na warehouse kuubwa kwajili Ya kufungua kiwanda, unaweza hata kufanyia kazi at your backyard, challenge niliyoiona ni jinsi Ya kupata raw materials(miti ambayo haina madhara na haina ladha chungu mdomoni), packaging materials na marketing. Na mashine nyingi nlizoziona ktk kugoogle kwangu ni za chini Ya $15,000
Ivi biashara za alibaba ni za kweli??mm huwa nawaogopaNilisha waza hii idea,nikafuatilia youtube jinsi machine zinavyo fanya kazi na Bei zake nikacheki Alibaba
Bei Si kubwa sana na changamoto ambazo nilikuja kuziona Ni kama hizo ulizo taja.
Kuhusu packaging Unaweza Kuanza na packaging nyepesi ya bei nafuu kama kutumia karatasi ngumu Au magome ya miti hiyohiyo inayokatwa kama malighafi. Au unaweza kufanya outsource ya packaging,kuna viwanda vya plastic bongo vinaweza kufanya hii kitu
Ila mimi nilifikiria kitu kimoja,hivi VETA Au SIDO hawawezi kutengeneza hizi machine ili upate kwa bei ya chini zaidi?
habari mkuu...piusvallentine@gmail.com....naombe email yako tupate kuteta kidogofor sure .... financial plan is inclusive on the BP ... profit and loss account .... IRR and Return on investment
as well payback period
Process line ya kutengeneza toothpicks au vijiti vya mishikaki inajumuisha aina ya machine nane 8 .... very simple mashines .... ni vimashine kama zile za kukereza miguu ya stuli
Karibu
mkuu mnishirikishe na mimi kwenue kutetahabari mkuu...piusvallentine@gmail.com....naombe email yako tupate kuteta kidogo
Mimi nataka hiyo mashine ya vijiti nitapataje msaada jamani 0756805540Kaka mambo vipi umeisha fungua kiwanda.
napenda hii biashara nadhani mashine zinaeza patikana za bei ya chini
Hiyo BP inakuaje mkuu? Tufanye hata Biashara maana najua umetumia Muda na akili.
Uwoga wako ndio umeskini wakoIvi biashara za alibaba ni za kweli??mm huwa nawaogopa