Msaada: Kiwanda cha kutengeneza toothpick Tanzania

Msaada: Kiwanda cha kutengeneza toothpick Tanzania

for sure .... financial plan is inclusive on the BP ... profit and loss account .... IRR and Return on investment

as well payback period

Process line ya kutengeneza toothpicks au vijiti vya mishikaki inajumuisha aina ya machine nane 8 .... very simple mashines .... ni vimashine kama zile za kukereza miguu ya stuli

Karibu

Hiyo BP inakuaje mkuu? Tufanye hata Biashara maana najua umetumia Muda na akili.
 
Nshafatilia online kuhusu mashine za kutengeneza toothpick zipo hata za kuoperate mtu mmoja, yani hauhitaji kuwa na warehouse kuubwa kwajili Ya kufungua kiwanda, unaweza hata kufanyia kazi at your backyard, challenge niliyoiona ni jinsi Ya kupata raw materials(miti ambayo haina madhara na haina ladha chungu mdomoni), packaging materials na marketing. Na mashine nyingi nlizoziona ktk kugoogle kwangu ni za chini Ya $15,000

Kaka mambo vipi umeisha fungua kiwanda.
 
Nilisha waza hii idea,nikafuatilia youtube jinsi machine zinavyo fanya kazi na Bei zake nikacheki Alibaba

Bei Si kubwa sana na changamoto ambazo nilikuja kuziona Ni kama hizo ulizo taja.

Kuhusu packaging Unaweza Kuanza na packaging nyepesi ya bei nafuu kama kutumia karatasi ngumu Au magome ya miti hiyohiyo inayokatwa kama malighafi. Au unaweza kufanya outsource ya packaging,kuna viwanda vya plastic bongo vinaweza kufanya hii kitu

Ila mimi nilifikiria kitu kimoja,hivi VETA Au SIDO hawawezi kutengeneza hizi machine ili upate kwa bei ya chini zaidi?
Ivi biashara za alibaba ni za kweli??mm huwa nawaogopa
 
for sure .... financial plan is inclusive on the BP ... profit and loss account .... IRR and Return on investment

as well payback period

Process line ya kutengeneza toothpicks au vijiti vya mishikaki inajumuisha aina ya machine nane 8 .... very simple mashines .... ni vimashine kama zile za kukereza miguu ya stuli

Karibu
habari mkuu...piusvallentine@gmail.com....naombe email yako tupate kuteta kidogo
 
napenda hii biashara nadhani mashine zinaeza patikana za bei ya chini
 
Back
Top Bottom