Msaada kiwanda cha viroba vya kg100 na bei zake

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Salaam wakuu.

Wakuu nahitaji kufanya hii biashara ya vifungashio.

kwahiyo nilikuwa nahitaji kujulishwa kilipo kiwanda cha viroba vya kg100 vile vya kijani na nahitaji viroba bora sio bora viroba.

Natanguliza shukrani.
 
Unawafahamu CONNECTION INVESTIMENT?wapo BAGAMOYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…