Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Salaam wakuu.
Wakuu nahitaji kufanya hii biashara ya vifungashio.
kwahiyo nilikuwa nahitaji kujulishwa kilipo kiwanda cha viroba vya kg100 vile vya kijani na nahitaji viroba bora sio bora viroba.
Natanguliza shukrani.