Unapopatiwa TIN kuna kodi za aina mbili. Moja ni withholding Tax from Rent (10% of rent), kama nyumba ni ya kwako utawasilisha risiti ya malipo ya kodi ya majengo uliyolipa hivyo hutalipa kodi hiyo. kodi ya pili unakadiriwa kwa mwaka wa kwanza. makadirio yake hutegemea mambo kadhaa kama amount of share capital, type of business, ect. Kodi itakayokadiriwa inagawanywa katika vipindi vinne vya mwaka ambapo utaruhusiwa kulipa kwa vipindi vinne kwa mwaka. Nadhani utakuwa umeelewa kwa kiwango fulani.