duet
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 534
- 149
Salaam,
Ndugu wadau nahitaji msaada wa kujulishwa ni kodi zipi (kama zipo) hulipwa wakati wa kuanzishwa kwa kampuni? Na je kiasi cha mtaji wakati wa kuanzisha kampuni kina athari yoyote katika ulipaji kodi hizo (kama zipo)? Nitashukuru endapo nitapata majibu ya uhakika na ya kitaalamu.