Msaada; Kodi Kwenye Vifaa vya Kilimo

Joined
Oct 3, 2016
Posts
6
Reaction score
12
Wadau za Jioni??

Ninatarajia kuagiza Vifaa mbalimbali vya kilimo kama vile Drip irrigation tapes na fittings zake kama Tape Plugs, PVC offtake, pia Sprinklers etc. Sasa kuna ambae ameshawahi kuagiza hivi vitu ambae anaweza kunisaidia estimates za gharama za TRA, bandari na labda Clearing Agent??

Wengi hupenda kusema kua vifaa vya kilimo havina kodi ya TRA, but ni kodi hasa exactly iliyosamehewa?? Ni Import Duty, Excise Duty, VAT au ipi hasa iliyosamehewa?? Na Port Charges ni kama zipi ambazo zinalipwa kwenye hivi vifaa vya kilimo??

Msaada wenu kwenye hili suala unahitajika, na will be much appreciated wadau. Si wajua tena kilimo ukikifanya kisasa kinalipa zaidi.

Karibuni.
 
mimi niliagiza cages china za kuku wa mayai gharama yake ni kama 1840 pamoja na bank fee cha ajabu mpaka mzigo unatoka bandari nimelipia 1,891,700.42 za kitanzania bado usafiri kutoka dar mpaka mikoani kama vp tafuta watu wa bandar watakusaidia zaidi masuala ya kodi na clearance
 
Cage zilikuwa ngapi mkuu? Gharama ya cage moja mpaka ilikuwaje?

1,891,700.42 ulilipa kwa ajili ya cage ngapi?
 
Mkuu naomba uongeze nyama kidogo.....nafikiria kuagiza cage za kuku wa mayai zile za trei 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…