Msaada: Kodi za TRA kwa Used Car

Msaada: Kodi za TRA kwa Used Car

Muota Ndoto

Member
Joined
Dec 4, 2007
Posts
89
Reaction score
127
Wakuu, Wasalaam.

Naomba msaada kwa yeyote anayejua. Nimeagiza Daihatsu Terios Kid ya 2000 kutoka Japan. Bei yake ni pamoja na usafiri, inspection na marine insurance ni US$ 2350. Tatizo lipo kwenye kodi ya TRA. Agency niliempa kazi kanitajia kodi ya Tshs 5,350,000/= kwa ajili ya TRA pekee. Hii inanitisha maana nikitumia kikokoteo kilichopo website ya TRA napata Tshs 2,600,000/= hivi. Nani anisaidie kuhusu hii tofauti ambayo ni kama mara 2? Je, kodi za TRA zinaweza kuwa zaidi ya mara mbili ya bei ya gari?

Asanteni na karibuni kwa ushauri
 
Agent wengi wapigaji kweli.kuwa makini.
 
Kwa uzoefu, gari nyingi ile bei ya Japan ambayo inahusisha manunuzi na usafiri, basi jua hapa kodi yake ni kati ya 87-98% hadi gari liingie barabarani. Vinginevyo watakuchakachua tu. Ni mbaya sana mwenzio kadunduliza halafu unataka kumpiga kwa kiasi kikubwa hivyo.

Kwa dola hizo ujiandae kwa US Dollar kati ya 2,045 na 2,300 tu. Kwa kukisia kuwa 1USD=1725TSH, basi jiandae kugomboa gari kwa Tsh 3,527,625/ hadi 3,967,500 tuseme roughly 4m/- inatosha kila kitu kasoro bima tu.
 
Hiyo gari kodi itakuwa Dolla 2,380 angalia hiyo Terios kid ni less than cc 1000, kwa ushaur ungeweza kununu mpya zaidi yaani ya 2005 unasave kodi hiyo $ 881 angalia mahesabu kutoka TRA hapo chini
[TABLE="width: 631"]
[TR]
[TD="colspan: 7"]Motor vehicle with less than 1000cc (Aged more than 10 Years)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 7"]Example of vehicles: Toyota Vitz model SCP10, Toyota duet Model M100 , Nissan March Model K11, Suzuki Carry Model DD51 and Mazda Demio DW3W[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION[/TD]
[TD="colspan: 4"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Current Retail Selling Price[/TD]
[TD] 26,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Depreciation[/TD]
[TD]80%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Customs value[/TD]
[TD] 2,820[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]FOB Value[/TD]
[TD] 2,820[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Import Duty 25%[/TD]
[TD] 705[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base for vehicle aged more than 10 years[/TD]
[TD] 881[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT Base[/TD]
[TD] 4,407[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT 18%[/TD]
[TD] 793[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes[/TD]
[TD] 2,380[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes in TSHs[/TD]
[TD] 4,045,424[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu uko sahihi. Final assessment imekuja Tshs 4,050,740/=. Nashukuru wote mliochangia. Nimelipa kodi yote tujenge Taifa.
 
Mkuu uko sahihi. Final assessment imekuja Tshs 4,050,740/=. Nashukuru wote mliochangia. Nimelipa kodi yote tujenge Taifa.

Huyo agent wako hukumuuliza mbona nimelipa Tshs 4,050,740/- badala ya Tshs 5,350,000/-, yaani tofauti ya 1,299,260/-! Je hesabu ya mwanzo aliipiga akiwa na kinana kichwani?
 
Back
Top Bottom