Muota Ndoto
Member
- Dec 4, 2007
- 89
- 127
Wakuu, Wasalaam.
Naomba msaada kwa yeyote anayejua. Nimeagiza Daihatsu Terios Kid ya 2000 kutoka Japan. Bei yake ni pamoja na usafiri, inspection na marine insurance ni US$ 2350. Tatizo lipo kwenye kodi ya TRA. Agency niliempa kazi kanitajia kodi ya Tshs 5,350,000/= kwa ajili ya TRA pekee. Hii inanitisha maana nikitumia kikokoteo kilichopo website ya TRA napata Tshs 2,600,000/= hivi. Nani anisaidie kuhusu hii tofauti ambayo ni kama mara 2? Je, kodi za TRA zinaweza kuwa zaidi ya mara mbili ya bei ya gari?
Asanteni na karibuni kwa ushauri