Msaada:korodan moja kubwa nyingine ndogo

Msaada:korodan moja kubwa nyingine ndogo

The 13

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2018
Posts
2,835
Reaction score
3,266
Wakuu husika kichwa cha habari hapo juu .takribani miaka miaka mitatu sasa tangu hili tatizo linikute. Kama kuna tiba au madhara hasa msaada wakuu.nimekuwa sipo huru kufanya mapenzi


*******************×*****×*****/******
Tafadhari wakuu msaada
 
Umewahi kwenda hosp? Ukiligusa Hilo kubwa Lina maumivu?
 
Umewahi kwenda hosp? Ukiligusa Hilo kubwa Lina maumivu?
Hamna uvimbe wala maumivu mkuu.moja ipo kwenye ukubwa wa kawaida ila hii nyingine ndo imepungua mkuu kame kuwa kadog.
 
Back
Top Bottom