Msaada: Korodani zinawasha na kubabuka ngozi

Msaada: Korodani zinawasha na kubabuka ngozi

mandingo 94

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
269
Reaction score
194
Hàbar ndg zangu,

Kama nilivyoanza hapo juu mwezenu kwenye mbupu zangu zinawasha na zinababuka ngozi sijui shida nini nasijui nitumie sawa gani?
 
Pole sana.

Lakini hujatoa historia ya tatizo lako. Je, korodani zimeanza kukuwasha lini? Je, ni hali ya kujirudia?
Yanawasha tu au kuna vipele au malengelenge? Umeshiriki lini ngono hivi karibuni? Kwenye uume hakuna maumivu yeyote?
 
SOIL/PUM*8U EROSION huwa inasababishwa na kutumia maji amabayo sio salama kuogea au pengine hupasafishi ipasavyo

pole sana halafu nenda hospitali, Katafute dawa ya fangasi za sehemu za siri
Duh boarding schools siku zile inaitwa kupiga gitaa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hàbar ndg zangu Kama nilivyoanza hapo juu mwezenu kwenye mbupu zangu zinawasha na zinababuka ngozi sijui shida nini nasijui nitumie sawa gani
Inaitwa pumbu erosion ilinitesaga iyo kitu daaaah sitosahau mkuu nenda hospital
 
SOIL/PUM*8U EROSION huwa inasababishwa na kutumia maji ambayo sio salama kuogea au pengine hupasafishi ipasavyo

pole sana halafu nenda hospitali, Katafute dawa ya fangasi za sehemu za siri

We jamaa utakua umesoma Tosa haaa haaa dah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanunue hiyo dawa pharmacy utakuja kunishukru

16514108222296503723946283837303.jpg
 
SOIL/PUM*8U EROSION huwa inasababishwa na kutumia maji ambayo sio salama kuogea au pengine hupasafishi ipasavyo

pole sana halafu nenda hospitali, Katafute dawa ya fangasi za sehemu za siri
Umenikumbusha enzi hizo Mzumbe secondary
 
Back
Top Bottom