Msaada: Korodani zinawasha na kubabuka ngozi

Msaada: Korodani zinawasha na kubabuka ngozi

ni fungus ? nenda pharmacy waambie wakupe fluconazole ila waambie unataka kutumia kwa ajili ya fungus wakupe maelekezo vizuri
 
Hàbar ndg zangu,

Kama nilivyoanza hapo juu mwezenu kwenye mbupu zangu zinawasha na zinababuka ngozi sijui shida nini nasijui nitumie sawa gani?
Yaani hapo ni FUNGUSI unayo wewe mjuba... Dawa ni moja tu ndo huwa inaondoa hayo madude hizi zingine zinaweza kukugomea kabisa kutibu, najua huwezi kuamini ila ndo ukweli utapona kwa shilingi mia 600 tu hizo dawa za 3000 na 4000 binafsi zilinigomeaga zote....
........Nenda duka la dawa kanunue VITAMIN B COMPLEX vya 600 tu au hata 1000 kisha uwe unakunywa kutwa kamoja mara 3 (asubuhi, mchana na jioni) kila siku... hata week humalizi huo upuuzi unapona.......
 
Hàbar ndg zangu,

Kama nilivyoanza hapo juu mwezenu kwenye mbupu zangu zinawasha na zinababuka ngozi sijui shida nini nasijui nitumie sawa gani?
Pole kaka Sasa nenda duka la dawa kanunue dawa inayo itwa SEPTRIN vya elfu Moja utapewa vidonge kumi .

Baada ya hapo nenda dukani kanunue mafuta ya VASELINE madogo ila utayapunguza mafuta hayo wingi wake au mafuta ya BABYCARE madogo pia madogo kuliko yote yenye ujazo wa 25g .
Chukua vidonge vyako vyote kumi viponde ponde mpaka viwe unga alafu changanya kwenye mafuta yako .

alafu utakuwa unapaka Kila unapo toka kuoga uwe umejikausha vizuri na taulo lako safi au na nguo safi Kila siku utatumia ndani ya siku 5 utapata majibu yake .mungu akutangulie .pasipo kusahau boxers zako za kubana usizitumie tena mwili wako unatakiwa upate hewa .
 
Back
Top Bottom