Msaada: Kozi ya Agricultural economics and agribusiness inahusu nini?

Edgar 8900

Member
Joined
Jun 8, 2022
Posts
24
Reaction score
9
Kuna kozi pale SUA inaitwa agricultural economics and agribusiness, hii inahusu nini na fursa zake ni zipi?
 
Ukisoma hii utapelekwa Idara ya kilimo ambayo ni Idara yenye njaa.
Bora usome Economics pure ukawe Afisa MIPANGO au mchumi

Au usome course ya business uwe Afisa Ugavi (procurement), BBA uwe Afisa Biashara, au Accounts uwe muhasibu.

#YNWA
 
Wamejaa sana CRDB enzi za Kimei
 
Ukisoma hii utapelekwa Idara ya kilimo ambayo ni Idara yenye njaa.
Bora usome Economics pure ukawe Afisa MIPANGO au mchumi

Au usome course ya business uwe Afisa Ugavi (procurement), BBA uwe Afisa Biashara, au Accounts uwe muhasibu.

#YNWA
Kwa level ya halmashauri umemshauri vyema, lakini vipi kama ataajiriwa taasisi/mashirika binafsi na mabenki?
 
Huyu ni mwalimu.
Kufika huko ulikosema ni yeye aombe ajira mpya au atafute transfer..!!

#YNWA
 
Back
Top Bottom