Big Nyota
JF-Expert Member
- Apr 2, 2018
- 378
- 575
Ada zao zipoje mkuu??! Ukiwa na cheti cha form 4 unaweza kujiunga?? Ufaulu wa masomo gan unahitajika?Nenda kasomee Ordinary diploma in Railway Transportation ni miaka miwili inatokewa chuo kimoja tu Tanzania kinaitwa TIRTEC kipo Tabora ukimaliza hapo Unaajiriwa Kwa urahisi kabisa Shirika la Reli TRC Tena utakua na option uajiriwe kama station master au wakunakize kama lecturer hapo chuoni Kwa kuwa tayari una degree ya ualimu....Utakuja kunishukuru baadae (SGR PROJECT IS THE ORDER OF THE DAY )