hio course ni majanga ndugu yangu,usione kila kinachorelate na health kina ajira,kwanza ajira zake umejifunga sehemu moja tu,na inahusika na mifumo ya mawasiliano ya mambo ya afya,ila ajira ni shida nawajua rafk zangu wana miaka mitatu wanasota kitaa,ila kila mtu na bahati yake but ajira zake mpaka kwa mbinde..
Sawa bob nimekuelewa kwa dokezo hilo aisee....!!
Xory braza naomba unijuze kuhusu geoinformatics na maeneo ya kazi ,,,naxoma geoinfor!!!tanx
unasoma geoinfo ya chuo gan?ardhi,udom au bagamoyo?anzia hapo then ndio nitajua nikushaur vp ila kama unasoma bagamoyo utashindwa kufanya vitu vingi compared na wenzsko wa aru na udomXory braza naomba unijuze kuhusu geoinformatics na maeneo ya kazi ,,,naxoma geoinfor!!!tanx