Msaada ktk manunuzi ya Simu na Vifaa vyake kwa jumla.

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,758
Reaction score
3,199
Heshima zenu wakuu!

Nimefungua duka la Simu na Vifaa vyake, ingawa limeshaanza lakini napata tabu hasa katika manunuzi ya bidhaa zenyewe, kwa yeyote anayeuza Simu au vifaa vyake kwa jumla naomba anipe contacts tuwe tunafanya biashara pamoja (Nanunua kwake).

unaweza hata shauri ili nipate mtu wa kuaminika au ushauri mwingine wowote.

Thanks in advance
 
Kama upo serious nawezakukusaidia..nina rafiki zangu wengi wanaouza simu na vifaa vyake kwa ujumla hapa dubai..nawezanunua nikatuma kwa posta mpaka dar es salaam kisha ukavipata huko..kama upo serious unataka hiyo biz pm au sms +971504374387..utumaji toka dubai mpaka dar ni siku 10 tu,
 
Mkuu dist111

Hongera kwa kufanya biashara. Pamoja na mchango mzuri wa Mkuu lucky sabasaba, nami napenda kuchangia, chini ya kipengele, ushauri mwingine wowote, kama ufuatavyo:

Karibu kila mtu huwa anataka kuwa tajiri. Tatizo, wengi wetu hatupo tayari kulipa gharama (we are not ready to leave the comfort zone) kama ulivyofanya/ ulivyojitosa (kuthubutu).

Kuna aina kadhaa za umasikini, mojawapo ni umasikini wa fikra/ mawazo. Tukiuondoa kwanza umasikini huu wa mawazo, ni rahisi kuondokana na umasikini wa kipato. Hakuna njia ya mkato zaidi ya kupenda kujisomea/ kusikiliza vitabu / machapisho au cd mbalimbali zinazungumzia maisha ya watu waliofanikiwa au kanuni za mafanikio. Hakuna mbadala.

Mkuu, tafuta vitabu hivi na kuvisoma kwa kuanzia, mapema iwezekanavyo THE CASHFLOW QUADRANT, THE BUSINESS SCHOOL & THE BUSINESS OF THE 21ST CENTURY vyote vikiwa vimeandikwa na Robert T. Kiyosaki. Vinapatikana kwenye maduka yafuatayo: Scholastic Bookshop (Mlimani City & Posta), Dar es Salaam Printers, Saramanda, n.k. Pia, kwa wauza vitabu stand ya mabasi ubungo vinapatikana.

Ninasema kwa kuanzia, kwa maana kwamba kuna vitabu vingi vizuri (sio vya Robert Kiyosaki peke yake) lakini vitabu hivi vitakusaidia kukupa mwanga zaidi juu ya Biashara na Ujasiriamali katika karne hii ya 21, hasa kwa watu ambao tunakumbwa na changamoto za Usimamizi na Mitaji ya mawazo ya Biashara zetu bila kusahau Ofisi/Eneo (premisis) la kufanyia biashara na Stadi /Mbinu za Biashara. Zaidi, vitakupa muongozo mzuri namna unavyoweza kuutumia muda wako wa ziada (part time) kujenga TIMU ya watu watakaokuwa wanakufanyia kazi (SYSTEM/ NETWORK) kama ambavyo Bakheresa, Mengi, Manji, Mkono, n.k walivyo na wanavyoendelea kufanya.

Kwa mawasiliano zaidi, piga 0713 366 473 au 0767 277 223.

KILA LA KHERI WAKUU.
 
Mkuu dist111

Hongera kwa kufanya biashara. Pamoja na mchango mzuri wa Mkuu lucky
sabasaba, nami napenda kuchangia, chini ya kipengele, ushauri
mwingine wowote,
kama ufuatavyo:

Karibu kila mtu huwa anataka kuwa tajiri. Tatizo, wengi wetu hatupo
tayari kulipa gharama (we are not ready to leave the comfort zone) kama
ulivyofanya/ ulivyojitosa (kuthubutu).

Kuna aina kadhaa za umasikini, mojawapo ni umasikini wa fikra/ mawazo.
Tukiuondoa kwanza umasikini huu wa mawazo, ni rahisi kuondokana na
umasikini wa kipato. Hakuna njia ya mkato zaidi ya kupenda kujisomea/
kusikiliza vitabu / machapisho au cd mbalimbali zinazungumzia maisha ya
watu waliofanikiwa au kanuni za mafanikio. Hakuna mbadala.

Mkuu, tafuta vitabu hivi na kuvisoma kwa kuanzia, mapema iwezekanavyo
THE CASHFLOW QUADRANT, THE BUSINESS SCHOOL & THE BUSINESS OF THE
21ST CENTURY
vyote vikiwa vimeandikwa na Robert T. Kiyosaki.
Vinapatikana kwenye maduka yafuatayo: Scholastic Bookshop (Mlimani City
& Posta), Dar es Salaam Printers, Saramanda, n.k. Pia, kwa wauza
vitabu stand ya mabasi ubungo vinapatikana.

Ninasema kwa kuanzia, kwa maana kwamba kuna vitabu vingi vizuri (sio vya
Robert Kiyosaki peke yake) lakini vitabu hivi vitakusaidia kukupa
mwanga zaidi juu ya Biashara na Ujasiriamali katika karne hii ya 21,
hasa kwa watu ambao tunakumbwa na changamoto za Usimamizi na Mitaji ya
mawazo ya Biashara zetu bila kusahau Ofisi/Eneo (premisis) la kufanyia
biashara na Stadi /Mbinu za Biashara. Zaidi, vitakupa muongozo mzuri
namna unavyoweza kuutumia muda wako wa ziada (part time) kujenga TIMU ya
watu watakaokuwa wanakufanyia kazi (SYSTEM/ NETWORK) kama ambavyo
Bakheresa, Mengi, Manji, Mkono, n.k walivyo na wanavyoendelea kufanya.

Kwa mawasiliano zaidi, piga 0713 366 473 au 0767 277 223.

KILA LA KHERI WAKUU.

thanks alot mkuu, ushauri huu nitaufanyia kazi! ukizingatia mimi ni muajiriwa niliyejiari lazima niwe na mawazo mengi zaidi kuhusu biashara, thanks alot MoneyMaker
 
Last edited by a moderator:
Kama upo serious
nawezakukusaidia..nina rafiki zangu wengi wanaouza simu na vifaa vyake
kwa ujumla hapa dubai..nawezanunua nikatuma kwa posta mpaka dar es
salaam kisha ukavipata huko..kama upo serious unataka hiyo biz pm au sms
+971504374387..utumaji toka dubai mpaka dar ni siku 10 tu,

mkuu! nitakupm kwa maelezo zaid, thanks
 
Karibu sana...nina amini kwa kuwa bidhaa za simu na vifaa vyake si vitu vikubwa na vizito nawezanikakutumia ki urahisi tokea hapa dubai...utapima gharama zake ukiona ni rahisi ntakuwa nakutumia kulingana na mahitaji yako...sitataka utume pesa huku nitataka utoe order ambayo utailipia pindi ifikapo huko, karibu
 
mkuu hata mimi nilitaka kuk pm ila sina status ya five post ila nilitaka kupata range of price ya simu zao, kama itawezekana mwaga jamvini hapa ili tuone kama tunaweza kuchukulia huko
 
Kama upo serious nawezakukusaidia..nina rafiki zangu wengi wanaouza simu na vifaa vyake kwa ujumla hapa dubai..nawezanunua nikatuma kwa posta mpaka dar es salaam kisha ukavipata huko..kama upo serious unataka hiyo biz pm au sms +971504374387..utumaji toka dubai mpaka dar ni siku 10 tu,
mi nataka android phone naweza pata ya second hand kwa bei gani nikutumie kwa western union?
 
Mtz one nimekupata lakini kidogo sijakuelewa android zipo za aina nyingi samsung..motorola na ata sony erickson...so nipe ufafanuzi kidogo ukiweza ata nipe model namba yake..mfano ile ya samsung ni laki na sitini
 
Mkuu dist111

Hongera kwa kufanya biashara. Pamoja na mchango mzuri wa Mkuu lucky sabasaba, nami napenda kuchangia, chini ya kipengele, ushauri mwingine wowote, kama ufuatavyo:

Karibu kila mtu huwa anataka kuwa tajiri. Tatizo, wengi wetu hatupo tayari kulipa gharama (we are not ready to leave the comfort zone) kama ulivyofanya/ ulivyojitosa (kuthubutu).

Kuna aina kadhaa za umasikini, mojawapo ni umasikini wa fikra/ mawazo. Tukiuondoa kwanza umasikini huu wa mawazo, ni rahisi kuondokana na umasikini wa kipato. Hakuna njia ya mkato zaidi ya kupenda kujisomea/ kusikiliza vitabu / machapisho au cd mbalimbali zinazungumzia maisha ya watu waliofanikiwa au kanuni za mafanikio. Hakuna mbadala.

Mkuu, tafuta vitabu hivi na kuvisoma kwa kuanzia, mapema iwezekanavyo THE CASHFLOW QUADRANT, THE BUSINESS SCHOOL & THE BUSINESS OF THE 21ST CENTURY vyote vikiwa vimeandikwa na Robert T. Kiyosaki. Vinapatikana kwenye maduka yafuatayo: Scholastic Bookshop (Mlimani City & Posta), Dar es Salaam Printers, Saramanda, n.k. Pia, kwa wauza vitabu stand ya mabasi ubungo vinapatikana.

Ninasema kwa kuanzia, kwa maana kwamba kuna vitabu vingi vizuri (sio vya Robert Kiyosaki peke yake) lakini vitabu hivi vitakusaidia kukupa mwanga zaidi juu ya Biashara na Ujasiriamali katika karne hii ya 21, hasa kwa watu ambao tunakumbwa na changamoto za Usimamizi na Mitaji ya mawazo ya Biashara zetu bila kusahau Ofisi/Eneo (premisis) la kufanyia biashara na Stadi /Mbinu za Biashara. Zaidi, vitakupa muongozo mzuri namna unavyoweza kuutumia muda wako wa ziada (part time) kujenga TIMU ya watu watakaokuwa wanakufanyia kazi (SYSTEM/ NETWORK) kama ambavyo Bakheresa, Mengi, Manji, Mkono, n.k walivyo na wanavyoendelea kufanya.

Kwa mawasiliano zaidi, piga 0713 366 473 au 0767 277 223.

KILA LA KHERI WAKUU.

Mwenzio anaulizia mambo ya SIMU we unaleta hizo ngonjera zenu
 
Nipo dear mambo ya kazi yamenibana mno kuingia jf kwa nadra angalau weekend....

Nipo biasharani humu nasaka fursa si unajua maisha ya mshahara tuu magumu

Na kwelii ni magumu maana mishaara modogo
 
Kama upo serious nawezakukusaidia..nina rafiki zangu wengi wanaouza simu na vifaa vyake kwa ujumla hapa dubai..nawezanunua nikatuma kwa posta mpaka dar es salaam kisha ukavipata huko..kama upo serious unataka hiyo biz pm au sms +971504374387..utumaji toka dubai mpaka dar ni siku 10 tu,
Sikuiona hii, bado unapatikana mkuu? I am also interested in electronic goods from Dubai.
 
Kama upo serious nawezakukusaidia..nina rafiki zangu wengi wanaouza simu na vifaa vyake kwa ujumla hapa dubai..nawezanunua nikatuma kwa posta mpaka dar es salaam kisha ukavipata huko..kama upo serious unataka hiyo biz pm au sms +971504374387..utumaji toka dubai mpaka dar ni siku 10 tu,

Mkuu mi nahitaji madera naomba unicheckie bei huko ili nikuagize hiyo litu.madera yale ya kawaida yanayovaliwa sn na watu
 
Back
Top Bottom