Msaada ku-Update Windows Software

Msaada ku-Update Windows Software

Kama ukinunua chochote toka dukani omba risiti ambayo inadhibitisha kile ulichonunua kama ni cd hakikisha kuna aina fulani ya udhibitisho kuhusu ulichonunua chochote kikitokea baada ya hapo kama ni bandia ni kufuata mkondo wa sheria wasiliana na tovuti husika kama wana portal yao iliyo karibu na wewe
 
haya unamshauri alieko bongo au majuu?

kama ni bongo unapoteza muda wako.....kuanzia raisi,wabunge,mawaziri,sijui nani,wewe na mimi wote longo longo....

Wewe unaponunua bidhaa unaomba risiti? unaambiwa na risiti lets say Tsh 10 bila risiti Tsh 7.....risiti unaisahau.....

......mkuu wewe hio O/S yako ni fake na ukiwa na fake au pirated o/s hamna haja ya ku update turn off window uptdation....
 
MITSUMI COMPUTER GARAGE WANAUZA CD AMBAZO NI GENUINE PAMOJA NA SERIAL NO NAFIKIRI DOLA 140 HIVI AU JUU YA HAPO , UKIENDA MTAA WA JUMHURI KWA MBELE NA MOSQUE KUNA DUKA LINAITWA oRCHARDS NAPO WANAUZA CD HIZO , AU MTAA HUO HUO MBELE YAKE KAMA UNAENDA KISUTU KUNA IDEAL COMPUTERS NAPO UTAPATA CD HIZO INGAWA MWAKA JANA WALIKUWA NA KASHFA YA KUUZA PROGRAMU BANDIA
hamna CD genuine TZ....zoote fake za kuburuza.....labnda uniambia kuna fake kidogo na fake kabisaa..
 
Unaweza kudhibitisha kauli yako kwamba mitsumi wanauza bidhaa bandia ? Nimefanya nao kazi kwa zaidi ya miaka 3 sasa katika hardware na software hawakuwahi kuwa na tatizo hilo -- hata wakati ule microsoft walipovamia maduka ya jijini mitsumi ilikuwa safi -- mimi nafanya nao kazi hawana tatizo hilo sijui wewe mwenzangu kama uko bongo au wapi

hapo mitsumi ukinunua chochote wanakupa risiti hiyo ni lazima
 
Naona hii na Hiyo ya Shy hapo juu ndio lasting solution ya kudumu ya tatizo langu. Nitafanya hivyo. Je hawa wakalamba wangu nilionunua kwao, kama ni mchezo wao si watakuwa pia wanaumiza watu wengine wasiojua kinachoendelea?? What do we do about them??
To be honest there's hundreds of things you can do so long as you have evidence of transaction with them!!e.g reporting them to authorities,suing them for damages etc remember any software with automatic update capability has a permanent signature that is left on the updating source everytime an update request is sent,so it's easy if you have proper tools to trace and check for genuine keys.if you run Regedit,hkey local machine,software,you will be able to see all the keys/default values of any software installed on your machine.(you can check the ones you suspect of ingenuity)..ila kibongobongo,share tatizo lako na wenzako and vumilia kama huna muda wa kupoteza ila iwe fundisho kwako.Next tym try to check the product genuinity b4 or the minute u get it!!most of us we've at one point or another been thru that!!Pole sana!!
 
Hayo yote uliyoambiwa kama hujafanikiwa mpaka sasa jaribu kuiondowa hiyo Pop Up Ya Genuine Windows inayokuja kila wakati wakati wa kuifunguwa Computer yako Download Bonyeza hapa MajorGeeks.Com - Contacting Download Site

RemoveWGA enables you to remove the Microsoft "Windows Genuine Advantage Notifications" tool, which is calling home and connect to Microsoft servers every time you boot. Once the WGA Notification tool has checked your OS and has confirmed you had a legit copy, there is no decent point or reason to check it again and again every boot.

Also, Windows Genuine Advantage Notifications is different than Windows Genuine Advantage Validation. RemoveWGA only removes the notification part, phoning home, and does not touch the Validation part. As the time I'm writting this, the Validation part is mandatory for some not critical downloads from Microsoft, but the Notification part is not mandatory at all, and you are able to install all of the security updates without installing this one. This may change in the future thought, I don't know what are the Microsoft plans.

Au Badilisha hiyo Serial yako ya Window Xp kwa kutumia hii Tools Bonyeza hapa Magical Jelly Bean Keyfinder v1.51 Released

Nakupa Serial Key Pruduct Tumia hii hapa VX4XG-8FFCQ-W6Q28-63VDG-CTX9C tumia hiyo Ku Update Windows yako nafikiri matatizo yako yatakwisha na ku active Windows yako tumia hii Tools Bonyeza hapa WinkeyFinder.com - Win Keyfinder 1.73 RC2 - Find Windows XP CD Key - Windows Vista CD Key - Change Windows XP CD Key - View MS Office CD Key - Change MS Office CD Key
 
Mkuu, Asante Sana kwa msaada! Ile Pop Up ya Genuine Window niliweza kuitoa kwa msaada wa wataalamu wa JF (Big Up!) lakini ikabidi pia niondoe Automatic Updates za Windows kwa wasiwasi wa kwamba inaweza kuibuka tena. Unachosema ni kwamba nikitumia hiyo product key uliyoniwekea hapo tatizo langu litakuwa limekwisha moja kwa moja? Natanguliza Shukurani.
 
Unachotakiwa ni kupata licence yaani nunua ya kwako ---- chochote unachojaribu kufanya nje ya hapo ni ukosefu wa adabu na uvunjivu wa sheria sisi ni profesionals hatuwezi kukushauri ufanye hivyo hata kidogo kwa faida zako na wengine pia
 
...Nimekusoma, Mkuu!! teh teh. Ina maana hii inakuwa tofauti na ile mitunguo aina aina ya dezo tunayowekewa mara kwa mara maeneo yetu haya haya??
 
Kuhusu Matatizo yako ya hiki kichwa cha habari (You may be a Victim of Software Counterfeinting. This Copy of Windows Did Not pass Genuine Windows Validation') Jaribu kuibadilisha hiyo Serial yako kama kuna mtu ataweza kukupa Serial yake Download hii Program kuibadilisha hiyo Serial yako Yaani Windos Key Product Bonyeza hapa Magical Jelly Bean Keyfinder v1.51 Released hii Program itakusaidia kuibadilisha hiyo Key Product yako ukimaliza kuibadilisha Restart Computer yako upya Matatizo yako yatakuwa yamemalizika Lau kam bado hujapata Key Product wasiliana na mimi nitakusaidia.
 
whether u use a fake keys or the right one is your decision but remember ***its all business***,
Last year i went to london for a visit and i found a server that i just got from Dubai in a show room with a big post saying ***just released****. Now we may buy stuff thinking they a not fake but if you look closely enough you'll just know that its not. For example cell phones. there ar cell phones in tz while they can't be found even in the countries that they ar produced. now ask your self were they got these products from.

60% of all products going to tz ar fake, now look closely at your self and think, how many stuff we buy because they ar cheap.
***without keeping in mind if they ar fake or not***

***I'm just thinkin out loud***
goodluck
 
hamna CD genuine TZ....zoote fake za kuburuza.....labnda uniambia kuna fake kidogo na fake kabisaa..
Hivi unaijua TZ au unafikilia pale mtaani kwako ndiyo TZ..CD Genuine zipo sana tu umefanya research kiasi ngani mpaka ukasema hivyo acha kudandia vitu ambavyo huvifahamu vizuri au kutaka kupocha makusudi..
 
jamani naombeni mwenye Genuine cd key tafadhali utupatie,unajua wengi wetu windows ambazo tunatumia ni fake,hivyo tunashinda kuzi update.
Ndugu Shy unajua wewe upo karibu na hivi vitu na inakuwia rahisi kupata copy halisi tofauti na sisi wengine akina kayumba.
 
Windows XP sasa ina mpaka Service Pack 3.
Option 1
Download Service Pack 2 or 3 from the Internet and install. (It is most likely that you already have SP1 on your Windows). SP3 requires at least SP1 to be present on an installed copy of Windows XP. I think you can still install SP2 on your XP if it does not have SP1.
Option 2
Tafuta mtu mwenye Win XP (pirated version) yenye Service Pack 2, fanya OS re-installation baada ya ku-backup data zako. Unaweza pia uka-download na ku-install Service Pack 3 from the Internet.

Baada ya hapo matoleo mapya ya Windows Updates sio ya lazima kwako.
(SP2 is about 266MB in size, SP3 - 316MB)

Note
Invisible aliwahi kuweka Service Pack za Windows XP humu jamvini.

Ndugu LazyDog ahsante sana kwa ushauri wako,mimi ninatumia service pack 2 ila nimekuwa najaribu ku-update kwenda service pack 3 inakuwa inaniletea msg kama ya mdau huyu kwenye kupost thread hii.labda ungenipa njia rahisi kidogo.
 
Fanya alichoshauri Kang hapo juu, post no. 6

Ukifanikiwa ujaribu sasa ku-download SP3. Download utafanya manually bila kutumia "Automatic Update". Actually, kama computer yako iko connected kwenye Internet, you may disable "Windows Automatic Update" altogether.
 
Back
Top Bottom