Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
haya unamshauri alieko bongo au majuu?Kama ukinunua chochote toka dukani omba risiti ambayo inadhibitisha kile ulichonunua kama ni cd hakikisha kuna aina fulani ya udhibitisho kuhusu ulichonunua chochote kikitokea baada ya hapo kama ni bandia ni kufuata mkondo wa sheria wasiliana na tovuti husika kama wana portal yao iliyo karibu na wewe
hamna CD genuine TZ....zoote fake za kuburuza.....labnda uniambia kuna fake kidogo na fake kabisaa..MITSUMI COMPUTER GARAGE WANAUZA CD AMBAZO NI GENUINE PAMOJA NA SERIAL NO NAFIKIRI DOLA 140 HIVI AU JUU YA HAPO , UKIENDA MTAA WA JUMHURI KWA MBELE NA MOSQUE KUNA DUKA LINAITWA oRCHARDS NAPO WANAUZA CD HIZO , AU MTAA HUO HUO MBELE YAKE KAMA UNAENDA KISUTU KUNA IDEAL COMPUTERS NAPO UTAPATA CD HIZO INGAWA MWAKA JANA WALIKUWA NA KASHFA YA KUUZA PROGRAMU BANDIA
To be honest there's hundreds of things you can do so long as you have evidence of transaction with them!!e.g reporting them to authorities,suing them for damages etc remember any software with automatic update capability has a permanent signature that is left on the updating source everytime an update request is sent,so it's easy if you have proper tools to trace and check for genuine keys.if you run Regedit,hkey local machine,software,you will be able to see all the keys/default values of any software installed on your machine.(you can check the ones you suspect of ingenuity)..ila kibongobongo,share tatizo lako na wenzako and vumilia kama huna muda wa kupoteza ila iwe fundisho kwako.Next tym try to check the product genuinity b4 or the minute u get it!!most of us we've at one point or another been thru that!!Pole sana!!Naona hii na Hiyo ya Shy hapo juu ndio lasting solution ya kudumu ya tatizo langu. Nitafanya hivyo. Je hawa wakalamba wangu nilionunua kwao, kama ni mchezo wao si watakuwa pia wanaumiza watu wengine wasiojua kinachoendelea?? What do we do about them??
Hayo yote uliyoambiwa kama hujafanikiwa mpaka sasa jaribu kuiondowa hiyo Pop Up Ya Genuine Windows inayokuja kila wakati wakati wa kuifunguwa Computer yako Download Bonyeza hapa MajorGeeks.Com - Contacting Download Site
RemoveWGA enables you to remove the Microsoft "Windows Genuine Advantage Notifications" tool, which is calling home and connect to Microsoft servers every time you boot. Once the WGA Notification tool has checked your OS and has confirmed you had a legit copy, there is no decent point or reason to check it again and again every boot.
Also, Windows Genuine Advantage Notifications is different than Windows Genuine Advantage Validation. RemoveWGA only removes the notification part, phoning home, and does not touch the Validation part. As the time I'm writting this, the Validation part is mandatory for some not critical downloads from Microsoft, but the Notification part is not mandatory at all, and you are able to install all of the security updates without installing this one. This may change in the future thought, I don't know what are the Microsoft plans.
Au Badilisha hiyo Serial yako ya Window Xp kwa kutumia hii Tools Bonyeza hapa Magical Jelly Bean Keyfinder v1.51 Released
Nakupa Serial Key Pruduct Tumia hii hapa VX4XG-8FFCQ-W6Q28-63VDG-CTX9C tumia hiyo Ku Update Windows yako nafikiri matatizo yako yatakwisha na ku active Windows yako tumia hii Tools Bonyeza hapa WinkeyFinder.com - Win Keyfinder 1.73 RC2 - Find Windows XP CD Key - Windows Vista CD Key - Change Windows XP CD Key - View MS Office CD Key - Change MS Office CD Key
Unachotakiwa ni kupata licence yaani nunua ya kwako ---- chochote unachojaribu kufanya nje ya hapo ni ukosefu wa adabu na uvunjivu wa sheria sisi ni profesionals hatuwezi kukushauri ufanye hivyo hata kidogo kwa faida zako na wengine pia
Hivi unaijua TZ au unafikilia pale mtaani kwako ndiyo TZ..CD Genuine zipo sana tu umefanya research kiasi ngani mpaka ukasema hivyo acha kudandia vitu ambavyo huvifahamu vizuri au kutaka kupocha makusudi..hamna CD genuine TZ....zoote fake za kuburuza.....labnda uniambia kuna fake kidogo na fake kabisaa..
jamani naombeni mwenye Genuine cd key tafadhali utupatie,unajua wengi wetu windows ambazo tunatumia ni fake,hivyo tunashinda kuzi update.
Ndugu Shy unajua wewe upo karibu na hivi vitu na inakuwia rahisi kupata copy halisi tofauti na sisi wengine akina kayumba.