Msaada kuacha tigo


Kweli hii inaudhi haswa!!! Yaani kweli siku zimeharibika kwa kukuonea huruma..kumbe inawezekana ni hadithi za kutengeneza...!!! Kweli kama ndo mambo yenyewe haya, mimi umenikwaza wewe dada!!....🙁 🙁

Asante mpendwa kwa kutuletea hizi taarifa..!!!
 
Pole dada yangu kipenzi, ondoka kwa amani, nashawishika kuamini kua u-mtu mwenye kazi, ondoka kajitegemee! madhara ni makubwa
 
Namfikiria mwanajeshi....................
Halafu nakifikiria hicho kitendo.......................
Halafu najikuta nikisema hivi, yani hiyo mara ya kwanza tu, nisingesubiri
mara ya pili.
Yani nina mama na baba, kaka na dada, marafiki wa kike na wa kiume, bado navumilia huo ufirauni.
Hadi niende hospitali, halafu nirudi tena kwako, kwamba sijakombolewa kifikra au?
Kwamba nakutegemea kila kitu au?
Kwamba bila wewe siwezi kuishi au?
Kwanza mi nisingesubiri hadi unaifanyie huo ushenzi kwa mara ya kwanza, ile tu umeonesha hiyo dalili,
Basi ninafungusha aisee.
Dada una mtoto mmoja anakushinda kweli.
Ndoa kitu gani mbele ya uhai na afya na uzima wako?
Hebu jikaze kiume achana na huyo Mbwa atakuua bureeeeeeeeeee!!!!
Khaaaaaaaaaa Mungu niepushie Hiii balaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 


Ha ha ha umeshamuumbua nafuta pole zangu zoooote
 

Yani mpendwa watu kama hawa, huwa wanajua sijui hapa JF, ni wapi.
Wanadhani watu huwa wanasahau, kibaya ni vile mtu utakosa ushauri kwa sababu ya mambo ya kijinga kama haya.
Haya dada, mi nilikuwa nimelia na huyo mwanajeshi wako nimemwita Mbwa, kama umedanganya shauri yako.
 
Hadithi za kutunga zimezidi hasa jukwaa hili.
 
LD

Nirahisi kuongea ssa kwa kuwa halijakufika na kumlaumu kuwa "hajakombolewa kifikra" kutamfanya ajisikie vibaya tu

Hivi unajua kuna wanawake ambao wana maelimu yao digrii zote na wanajitegemea kila kitu lakini wakiwa raped kwa mfano hawahadithii na wanakuwa wanakuwa dhaifu kwa huyo aliye wa rape?

 
Mwalimu... heshima sana kwa kuwa analytical
 

Ni kweli Gaijin, lakini unajua nimemjibu hivyo, kwa sababu huyu mtu hailewiki elewiki ujue.
Mara alikuwa na uhusiano na mtu kwa miezi minne, mara ana Mume na mtoto.
Mwanajeshi, sasa unashindwa kujua kama ni kweli mtu anahitaji msaada, au anatupatia huzuni za uongo tu hapa.
 
wakikubaliana sasa mashtaka ya kazi gani?

ndoa za siku hizi itabidi watu wawekeeane mikataba tokea mwanzo. Mimi kitu fulani na fulani offlimit

hivi ikitokea kama wote wamekubaliana kufanya wakashitaki wapi?
 
hizi ndoa za kileo jamani zina kila madudu....tusamehewe tu!
 
Mwalimu... heshima sana kwa kuwa analytical

Wee POVU!!!
Sa yeye, si ndo anajichanganya mwenyewe.
Mi nifanyeje, aondoke kwa huyo Mwanajeshi.
By the way hujambo wewe.
 
Mwalimu... heshima sana kwa kuwa analytical

MTM

Nadhani kuwa raped na mtu usiye na uhusiano nawe ni rahisi zaidi ku deal nayo kuliko mtu wako wa karibu. Au nimekosea hapo?
 
wanajamvi... hebu tuwe honest tunapojadili hii mada, kama kweli tuna nia ya kusaidia

Kuna watu kwenye hii thread wanasema nenda polisi, tamwa etc. ni kweli wanamaanisha?? wengine tuna ushahidi kabisa na wadada wanaopiga kelele mtaani na wakiwa ndani wanaomba wenyewe hiyo kitu

If we really want to advice, tupitie baadhi ya thread za miaka ya nyumba (when we use to discuss things fair and square) muone pros and cons za tIGO

I may be sympathizing with the lady but i think haya mambo solutions zake zinaanzia ndani kwanza wao wawili na lady has to express intention ya kuprotest na kukataa, then wafuate mafundisho yao ya ndoa kwani kuna procedures za kufuata and then uende unapotaka... mtu anapokurupuka na kusema nenda polisi anaonyesha immaturity yake

Lengo ni kusaidiana na sio kupeana chchote tu ilimradi tumesema
 
wakikubaliana sasa mashtaka ya kazi gani?

ndoa za siku hizi itabidi watu wawekeeane mikataba tokea mwanzo. Mimi kitu fulani na fulani offlimit
You can say that again prof!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…