Pia nashauri wanajamvi tuwe makini na mambo tunayochangia humu??
Leo unatuambia hivi
Wakati posts za nyuma huko ulikuwa ukiyaongea haya...
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=1683192
Na nyingine hii
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=1620495
Mtatufanya Mungu atuhukumu bure jamani.. Unasema upo kwenye ndoa,...hapo kwenye red umesema upo kwenye mahusiano kwa miezi 4..
Nashindwa kuelewa upo kwenye
mahusiano ya miezi 4 na nani?
Na hiyo ni miradi gani??
Tunajua mateso unayopata,
lakini tusidanganyane hapa jamvini kama watoto wadogo. leo unasema hiki, kesho tena unasema hiki. Sasa unataka kutuambia nini hapa?? wewe ni mwaminifu kwenye ndoa yako.??
Je hiyo ni adhabu mume wako aliyokupa ?? hakuna anayejua..ila tafuta muda wa kupumzika wewe mwenyewe..vinginevyo utuambie ukweli hapa. Vinginevyo mnatukwaza sana...
Asante..