Msaada kuacha tigo

Yaani niache kumpa mume wangu Goti niende kumpa mpita njia??? kweli kuna wanawake wa aina hii? na mume nyumbani hajui kweli? sina hakika na hili MTM

Gaga unamaanisha nini hapa? Inamaana na ww unatoa kwa mmeo?
 
Ni vizuri dada umekuwa mkali kwa kutetea mazuri, ni kweli threats zingine hazina ujenzi bali kuyumbisha mawazo ya watu, nivema kama kunawatu wanaopenda kuyafanya hayo, wajue basi watapambana na madhara ya baadae.
 
Daah, mpendwa umeleta changamoto hii ndoa inaonekana ina tatizo na tigo ni part tu , huyu dada kuna kitu anakificha . Nimeona hapo juu kumbe alishawahi kuzungumzia tigo . Hapa tumshauri juu ya kupambana na hilo tatizo alilosema. Kama ni kweli au sio kweli basi .
 
Ndo kilichokuleta humu jf....kupost pumba? Ulaaniwe na mungu aliyejua ili pepo shetani mbaya asikufanye uharibu wengine
 
Kuna wadau kule mwanzo walikuwa wanaponda hii thread lakini sasa kimesimuliwa kisa halisi wanaona aibu hata kuchangia,wengine wamechangia kiugumu tu.Tunawaambia haya mambo yapo miongoni mwa ndoa zetu.Huyu ni shuhuda mmoja ambae hapendi hii kitu na ni kweli ni halamu lakini wako wengine ambao nao wameridhia na wako kimya na maisha ya ndoa yanaendelea.KUMBUKA hii kitu ni kama TWO WAY TRAFFIC yaani sio kila mara aanze mwanaume kuomba tigo,kuna kisa KINGINE laivu mwanamke alianza mwenyewe kumpelekea jamaa kusiko!!jamaa mwanzo alipagawa na kuhamaki ila sijui walimalizana vipi.Mwishoe ndoa inaendelea na kuna wakati jamaa huwa anasifia sana hayo mambo.Ila kwa huyu dada kwa kuwa hajapenda aachane na jamaa yake kwa taratibu zilizopo kulingana na ndoa yake.hasa kwa kutumia watu wenye busara.Ila akumbuke kuwa KUFICHA SIRI HAKUMSAIDII NA HATAWEZA KUTATUA TATITZO AKIWA BADO HAPO!!Aondoke hapo arudi kwao ndio ashitaki.kuondoka itakuwa ishara ya mgomo kupinga vitendo afanyiwavyo kama chadema walivyofanya bungeni kutoka nje ya bunge.
 
Gaga unamaanisha nini hapa? Inamaana na ww unatoa kwa mmeo?

Hapana sijawahi ila nilikuwa namjibu mtm alisema wengine wanatoa nje waume zao hawawapi mume akisikia una bwana anajua lazima unatoa kwa hiyo na yeye anataka. ndio nikauliza kuna wanawake wanatoa nje ndani hawatoi? kama umemua kuliwa ndogo si bora afaidi yeye kama kuna kufaidi
 


kweli lakini.....
 
kwani unatoa gOTI wewe?

Kwani si tunaongelea kutoa nje na kutompa mume? kwa nini asipewe mume apewe hawara? ngumu. kujibu swali lako sijatoa ila mbeleni huko nikifika 50 yrs taliangalia hili swala maana kila mtu tigotigo let me do microphone test, kwani sh ngapi bana? tarudi na majibu jamvini kama tuko hai
 

Leo umekuwaje wewe unatoa goti?? Lakini poa kama ni kwa mumeo tu. Ila umeniacha hoi kweli
 
watu mna memory,juu ya yote huyu dada ana matatizo katika mahusiano yake,ila humu ndani sielewi kwa nini anaeleza vitu tofauti tofauti,nina amini mojawapo ni hilo la tigo
 
siku nyingine usijaribu kutudanganya humu.......na wala usituone sis ni wajinga humu.....umalaya wako huko huko na mume wako ...ala
 
yaani siku hizi wantu wanaleta post ili wagongewe thanks...na kupewa pole nyingi.....wakati ni uongo mtu....huu ni upuuzi wa hali ya juu kabisa ...watu wanapoteza mda wao kujadili mambo ambayo si ya kweli......halafu unafikiri watu humu jamvini tunasahau.....
 

MOD nao wameingilia kati wameikoroga koroga thread hata haieleweki sasa
 
Nikisema nianike kila kitu hapa jamvi ni dogo, nawashukuru sana wote mlionipa ushauri na wengine kunitukana na kuniita MALAYA, hadi nimejianika hapa juwen kuna tatizo. Hamumjui mume wangu yukoje na y niliingia huko kwenye uhusiano nikiwa ndani ya ndoa. Hakuna ajuaye alinifanya nini hadi nikatoka nje. Alichokifanya hakielezeki. Na huko kutiwa mara 3 sio kila siku. Kuna walioshangaa nimwambie dr nishindwe kumwambia ndugu , hospital ningepataje msaada bila kusema ukweli??? Mmenishambulia sana ila nimepata pa kuanzia. Hata mliofuta pole kwangu nawashukuru pia . Mimi si malaika nna mapungufu pia. Niliowakwaza kwa kuomba ushauri jf mnisamehe.
 

pole sana sasa what are ur next steps?
 
Halafu wewe mu-sir mbona hukutokea kwa thread yangu na mashukrani yote yale niliyokumwagia

hebu kaiangalie tena utakuta nilitokea japo nilichelewa kuchangia na ushauri wangu pia nikaweka na shukrani nyingi pia.
 

Tatizo, tulishindwa kujua kipi cha kweli: ndoa au miezi minne??? Mimi ni mmojawapo niliokwazika, maana nilifikiri umeleta hadithi za kutengeneza ili upate pole za wanajf. Pole sana na Mungu akusaidie upate jibu la tatizo lako!
 

Hili jambo huwa linakuja automatic unajikuta umezama kwenye maji taka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…