Alphanetcom
Senior Member
- Aug 26, 2013
- 124
- 84
Duh kweli wabongo kwa soga mdomoni anaweza akakutoa mtu kwenye line kabisa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mpango wa kuagiza nguo za wanawake toka China online kupitia ALIBABA mwezi november,Ninataka kuanza kuagiza pieces 200 kwanza , Ninaomba mnipe uzoefu wenu na ushauri kwa ujumla juu ya mambo yafuatayo
1.Gharama za kusafirisha 200 pieces
2.Clearing agencies wanaoaminika kama nikitumia meli
3. Kodi ya TRA inakuwaje
4.Ninaweza kupata faida nikianza na pieces 200 ? au mpaka niagize container zima?
5. Je nikitumia DHL nitapata faida?
Ninaomba michango yenu ,mawazo na ushauri nashukuru
... mbona mamba zinapicha ya whatsapp ya with weusi huku umeandika in ya kichina???mkuu usiogope kuagiza mzigo mm uwa naagiza kupitia online naninaupata kama nilivyo agiza ebutembelea hapa www.chinaworldbuz.com mawasiliano yao haya phon no +8613127807205 usiogope rugha we ongeanae kiswahili,kichina niwewe tu jamaa wako poa
Unaagiza vipi? Mi nataka nyuzi za kufumia.zinaitwa hands knitting yarnNanunua vitu Aliexpress na nimevipata bila shida
I hope tayari una kadi ya benki (Master au Visa card) iliyowezeshwa kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao, kama bado nenda kwa benki yako watakupa fomu utajaza taarifa then utawakabidhi ikiwa tayari utatumiwa ujumbe mfupi kwa njia ya simu kwamba kadi yako imewezeshwa kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao etcUnaagiza vipi? Mi nataka nyuzi za kufumia.zinaitwa hands knitting yarn
Google paypal international, fungua kisha fuata maelekezo, unafungua a/c yako online kama ulivyofungua a/c ya fbPayPal account unafunguaje
Kaka, Alibaba siyo waarabu ni kampuni ya tajiri namba moja China (Jack Ma). Kupitia alibaba kuna makampuni kibao mojawapo ni Taobao (ambayo inajishughulisha na kuuza bidhaa online). Unaweza kununua kila kitu pale na wanakuletea hadi nyumbani. Mimi nipo Shanghai (China) hapa huwa natumia sana taobao, jamaa wanakuletea mzigo hakuna wizi kabisa. Tatizo kwetu bongo mambo ya online marketing bado sana, huku unaagiza hadi chakula unaletewa hadi home. Ila sina uhakika kwa huko bongo sababu sijawahi kuagiza nikiwa TZ, na mambo ya kodi, nk inabidi ucheck na tra. lakini gharama za usafiri, insurence, nk huwa zinawekwa ktk mzigo wakati unanunua kutegemea sehemu unapotaka mzigo uletwe.funga safari uende mkuu...hao Alibaba ni waarabu si watu wa kuaminika sana, wana uswahili mwingi tu...wachina wenyewe wa mitandaoni ndiyo kabisa...
...utalizwa mkuu halafu ujute na kama mtaji wako ni mkopo wa bank itakuwa hasara mara mbili....pesa imekwenda na deni la benki unadaiwa ambalo itabidi ulipe kwa njia mbadala.
Online transactions kwa uzofu wangu unaweza kufanya na wazungu au wajapan...wapuuzi wengine kama waarabu, wahindi(nafuu kidogo wahindi), na wachina, si wa kuaminika!
...Wabongo ndiyo kabisaa...weezi watupu wamejipanga kuanzia Asia mpaka Ulaya...hao, waogope kama ukoma!
Kaka, Alibaba siyo waarabu ni kampuni ya tajiri namba moja China (Jack Ma). Kupitia alibaba kuna makampuni kibao mojawapo ni Taobao (ambayo inajishughulisha na kuuza bidhaa online). Unaweza kununua kila kitu pale na wanakuletea hadi nyumbani. Mimi nipo Shanghai (China) hapa huwa natumia sana taobao, jamaa wanakuletea mzigo hakuna wizi kabisa. Tatizo kwetu bongo mambo ya online marketing bado sana, huku unaagiza hadi chakula unaletewa hadi home. Ila sina uhakika kwa huko bongo sababu sijawahi kuagiza nikiwa TZ, na mambo ya kodi, nk inabidi ucheck na tra. lakini gharama za usafiri, insurence, nk huwa zinawekwa ktk mzigo wakati unanunua kutegemea sehemu unapotaka mzigo uletwe.
Lakini pia nakubaliana na wewe swala la wizi ambao upo sehemu yeyote. Hii taobao ni kama ilivyokuwa tradecarview kipindi fulani (ni soko tu la mtandao, ndani wapo wauzaji kibao), matapeli waliingia na walipiga sana watu. Hivyo unatakiwa ujiridhishe na mtu unayefanya naye biashara kwanza. Tatizo Kichina nacho ni shida, na waChina wengi hawajui Kiingereza, angalau Japan wengi wanakijua Kizungu.
Kuhusu kusafiri mwenyewe kwa piece 200, duh!!!! Hiyo nauli Dar-Gwangzhou-Dar mtaji kwisha.[/QUOTE Mkuu mimi nipo Denmark biashara ya kuagiza vitu online uku kawaida tu na kutuma mzigo kwenda Bongo ni bei rahisi pc 200 si kitu kwani kofia sio nzito naweka tu kwenye box nimeshatuma vitu vingi sana Bongo kama vifaa vya studio na uku amna ushuru unatuma chochote,ishu inakuja Posta ya Bongo.
Ni kweli Kristian nasikia bongo sasahivi KIMENUKA. Hata Airport pale ni shida sana aiseee, mzigo kidogo wanakomaa sana. Chamsingi jamaa ajipange tu aache woga wa mtandao siku hizi ndiyo deal, unapunguza gharama za kusafiri mwenyewe na pia unaokoa muda.
Kaka, Alibaba siyo waarabu ni kampuni ya tajiri namba moja China (Jack Ma). Kupitia alibaba kuna makampuni kibao mojawapo ni Taobao (ambayo inajishughulisha na kuuza bidhaa online). Unaweza kununua kila kitu pale na wanakuletea hadi nyumbani. Mimi nipo Shanghai (China) hapa huwa natumia sana taobao, jamaa wanakuletea mzigo hakuna wizi kabisa. Tatizo kwetu bongo mambo ya online marketing bado sana, huku unaagiza hadi chakula unaletewa hadi home. Ila sina uhakika kwa huko bongo sababu sijawahi kuagiza nikiwa TZ, na mambo ya kodi, nk inabidi ucheck na tra. lakini gharama za usafiri, insurence, nk huwa zinawekwa ktk mzigo wakati unanunua kutegemea sehemu unapotaka mzigo uletwe.
Lakini pia nakubaliana na wewe swala la wizi ambao upo sehemu yeyote. Hii taobao ni kama ilivyokuwa tradecarview kipindi fulani (ni soko tu la mtandao, ndani wapo wauzaji kibao), matapeli waliingia na walipiga sana watu. Hivyo unatakiwa ujiridhishe na mtu unayefanya naye biashara kwanza. Tatizo Kichina nacho ni shida, na waChina wengi hawajui Kiingereza, angalau Japan wengi wanakijua Kizungu.
Kuhusu kusafiri mwenyewe kwa piece 200, duh!!!! Hiyo nauli Dar-Gwangzhou-Dar mtaji kwisha.