Msaada: Kuandika vision kwenye kampuni

Msaada: Kuandika vision kwenye kampuni

Simolunda

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
453
Reaction score
81
Miaka mingi nimekuwa na ndoto ya kuwa na kampuni lakini vision ambayo itabeba maono ya kila kilichopo kwenye kampuni nakosa..
 
Sasa kama unakosa vision ya iyo kampuni utawezaje kuiendesha?
 
Mkuu Kama Utakuwa Serious Enough Nitakusaidia Kukuelekeza Mambo Kadhaa.

Lakini Kabla ya Hapo Nitaitaji Kupata Details Kadhaa Kama Objectives, Nature of Your Businesses, Your Personal Ambitions n.k. Kutoka Kwako. NiPM contacts zako.

Muhimu: Hii Itakua Free. Usijekuogopa Kwamba Kutakuwa na Consultation Fee.
 
kampuni itajishughulisha na nini? au hata hilo bado hujui
 
Simolunda kampuni yako inahusika na nini? unafikiria katika miaka ijayo kampuni yako ifike wapi? au iwe na uwezo gani katika miaka kadhaa ijayo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom