nenda kwa wakili akupe mwongozo au format...naamini haitakuwa gharama sana.....lakini kwa ufupi vitu muhimu ni....Nawasalimu wanasheria wote wa jukwaa hili.
Mimi nataka kuandika wosia wangu. Nauliza, je, wosia unaandikwa kwa msaada wa wakili/mwanasheria au unajiandikia
mwenyewe ukiwa chumbani mwako? Na je, ipo format/template maalum ya kisheria ya kuandika wosia au mtu unajiandikia tu kulingana na mawazo yako kichwani?
Naomba sana kusaidiwa kwa jambo hili. Mimi naishi Moshi.
Asanteni
Nawasalimu wanasheria wote wa jukwaa hili.
Mimi nataka kuandika wosia wangu. Nauliza, je, wosia unaandikwa kwa msaada wa wakili/mwanasheria au unajiandikia
mwenyewe ukiwa chumbani mwako? Na je, ipo format/template maalum ya kisheria ya kuandika wosia au mtu unajiandikia tu kulingana na mawazo yako kichwani?
Naomba sana kusaidiwa kwa jambo hili. Mimi naishi Moshi.
Asanteni
tatizo lako dogo sana. tafuta kitabu hiki, hakika utarudi na kunipm shukran.Nawasalimu wanasheria wote wa jukwaa hili.