DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Hahahaha! Watu wanakazania Europe na Kombe la Dunia, kuna michuano mitamu kuliko tunavyojua duniani, Copa America ni mojawapo...mi nilishawahi kushuhudia michuano yao miaka ya nyuma kidogo, ya mwaka huu sijabahatika kuziangalia zaidi ya kwenye youtube tu...nashangaa tunapata shida kuziangalia...ingawa shida ni mida yao kwetu huku!!
Shida ni mida yao tu hakuna kingine, pili wazungu wa Ulaya hawataki kufunikwa na Copa America ndo maana kuzionesha mipira yao ni taabu sana kuzipata channel zao kwa urahisi ingawa zipo zinazoonesha michuano ya Copa america.Kabisa mkuu umeongea point hapo! Nikweli Tatizo muda..
Una raha ndugu yangu...vipi mipira yao?Kila siku naangalia kupitia star times
Mpira uko vizuri sana, competition ya kutoshaUna raha ndugu yangu...vipi mipira yao?
Dstv hawaonyeshi kabisa natumia Dstv dishDstv wataonyesha kwenye channel 211
Wanaonyesha, kama huamini ingia kwenye tovuti yao au wapigie, mkuu au una kifurushi cha 13,000/=?Dstv hawaonyeshi kabisa natumia Dstv dish
watch on your smartphonwe
[/QUOTE
Website gani
Wewe bana wewe, umetoa kitu kizuri sana barikiwa sana vevewww.mama.com mechi zote ziko hapa unahangaika nini?