Msaada kuangalia Copa America

Msaada kuangalia Copa America

Hahahaha! Watu wanakazania Europe na Kombe la Dunia, kuna michuano mitamu kuliko tunavyojua duniani, Copa America ni mojawapo...mi nilishawahi kushuhudia michuano yao miaka ya nyuma kidogo, ya mwaka huu sijabahatika kuziangalia zaidi ya kwenye youtube tu...nashangaa tunapata shida kuziangalia...ingawa shida ni mida yao kwetu huku!!

Kabisa mkuu umeongea point hapo! Nikweli Tatizo muda..
 
Kabisa mkuu umeongea point hapo! Nikweli Tatizo muda..
Shida ni mida yao tu hakuna kingine, pili wazungu wa Ulaya hawataki kufunikwa na Copa America ndo maana kuzionesha mipira yao ni taabu sana kuzipata channel zao kwa urahisi ingawa zipo zinazoonesha michuano ya Copa america.

Copa America mipira yao ni wa shule na wa kipaji kwa saana! Mpaka sasa imani yangu kwa upande wa beki bora hadi leo ni Roberto Carlos katika historia, na mafundi wa mpira hakuna wengine zaidi ya Pele na Ronaldinho, ukizitazama mipira yao huchoki....

Nahusudu sana Copa America!
 
Back
Top Bottom