Msaada kuanzisha biashara morogoro......

Ms Tz

Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
18
Reaction score
2
Habari za jioni wana jm,naomba msaada kwa mtu aliye morogoro mjini, biashara gani au mradi gani unafaa kwa mtaji wa sh milion 1 na nusu,tafadhali saidia mawazo.
 
Chipsi kuku
 
Nunua boda boda. Inakuingizia 7000 kwa cku 210000 kwa mwezi.kama mimi
 
Back
Top Bottom