Msaada Kuanzisha Chuo cha Computer

Msaada Kuanzisha Chuo cha Computer

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
Habari wadau,

Nina idea ya kianzisha chuo cha computer mkoani kilimanjaro, (kama college au institute) ila sifahamu ni wapi napaswa kwenda kupata kibali.

Taharifa yoyote nitashukuru
 
Nenda Veta kama ipo hapo Mkoani kwako, watakupa maelezo vizuri kabisa tena bila tatizo lolote.
 
Back
Top Bottom