BwanaX Senior Member Joined Mar 5, 2015 Posts 123 Reaction score 46 May 10, 2015 #1 Habari wadau, Nina idea ya kianzisha chuo cha computer mkoani kilimanjaro, (kama college au institute) ila sifahamu ni wapi napaswa kwenda kupata kibali. Taharifa yoyote nitashukuru
Habari wadau, Nina idea ya kianzisha chuo cha computer mkoani kilimanjaro, (kama college au institute) ila sifahamu ni wapi napaswa kwenda kupata kibali. Taharifa yoyote nitashukuru
as1987 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 1,256 Reaction score 598 May 10, 2015 #2 Nenda Veta kama ipo hapo Mkoani kwako, watakupa maelezo vizuri kabisa tena bila tatizo lolote.