Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna haja, nahitaji kujua kuwa hata kufanya hivyo sivunji sheria yoyote! Halafu huo unakua ''under cover'' zaidi. Nahitaji uchunguzi rasmi ambao naweza hata kuomba nyaraka kisheria au hata kuhoji wahusika ikibidi!Hain ahaja ya kupata ushauri wa wanasheria si unachunguza tu, ukishapata data za kutosha unamwaga javini, au?
kuna haja, nahitaji kujua kuwa hata kufanya hivyo sivunji sheria yoyote! Halafu huo unakua ''under cover'' zaidi. Nahitaji uchunguzi rasmi ambao naweza hata kuomba nyaraka kisheria au hata kuhoji wahusika ikibidi!