msaada kuanzisha sports bar

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Wakuu habari yenu...
Kuna jamaa yangu mmoja ana plan ya kuanzisha sports bar hapa bongo..

Yuko kwenye idea....
Aliniuliza mbili tatu mie nikamwambia subiri nikafanye research then nitamrudia...

So nimeamua kuja kuanza kukusanya ushauri hapa kwanza kabla sijaendelea...naombeni ushauri wakuu...
 
Elezea kidogo mkuu ni nini hiyo sports bar
 
Take an idea frm q bar ile ni moja ya aina ya sport bar. Nenda kaangalie how they oparate then njoo na idea yako
 

Use internet search unaweza kupata ideas kuanzia design,menu,marketing etc for sports bar
 
A sports bar is a place where customers can eat, drink and socialize while watching the latest televised sports
events. Since sports bars are tailored to a specific clientele, they must have certain business objectives in
place to ensure success. In addition to the objectives you may see in most other businesses, like
management costs, a sports bar has to meet expectations for a bar and restaurant of its type. This means that
its proprietors must be acutely aware not only of how the bar performs, but also of how it is perceived by its
customers.
 
SPORTS BAR is generally a bar with a bunch of tv's playing nothing but sports. More than likely the bar will be decorated with sports memorabilia
 
pale posta karibu na askari monument ipo sports bar akajifunze kea vitendo
 
Au aje hapa Arusha kule TGTS au Ker @ Down kuna sports Bar moja bab kuwa sana inaitwa Johnies bar! Licha ya kuwa na sports facilities kama TV pia ina uwanja mkubwa wa michezo kama Rugby,football, Tenis squash,na hata swimming pool! Aje aangalie jinsi palivo na panavorun! Atapenda!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…