C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
Wakuu habari yenu...
Kuna jamaa yangu mmoja ana plan ya kuanzisha sports bar hapa bongo..
Yuko kwenye idea....
Aliniuliza mbili tatu mie nikamwambia subiri nikafanye research then nitamrudia...
So nimeamua kuja kuanza kukusanya ushauri hapa kwanza kabla sijaendelea...naombeni ushauri wakuu...