Msaada: Kubadili dola

Msaada: Kubadili dola

DenominationEstimated Lifespan*
$16.6 years
$54.7 years
$105.3 years
$207.8 years
$5012.2 years
$10022.9 years
Hii ni kutoka Federal Reserve website.
Hii wanamaanisha note tokea iwe mpya hadi ichakae kutegemea na matumizi ya watu. $5 ndio note maarufu sana ndio maana ndio maana unaona owna span fupi na $100 wanashika wachache ndio maana rina span kubwa.
 
Kweli na ndio maana nimemwambia aende akabadili tu. Hayo ni makadirio.
 
Back
Top Bottom