Msaada kubadili kituo cha usahili kada ya Afya

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,243
Wakuu Habari,

Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.

Msaada wakubwa🙏
 
Pole sana mkuu, naamini utasaidika.

Nje kidogo ya mada, Ni mkeka wa afya mkuu? Au na Ualimu
 
Wakuu Habari,

Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.

Msaada wakubwa
Nenda popote iyo ni online
Labda watu wakituo ndo wakukazie tu
 
Wakuu Habari,

Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.

Msaada wakubwa[emoji120]
Oral au written?
 
Pole Sana mkuu

Naimani watakusaidia pole Sana hii huwa inatokea Sana .✊🏿
 
Wakuu Habari,

Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.

Msaada wakubwa🙏
Mliambiwa muupdate taarifa kwenye portal hasa kwenye current address kabla majina hayajatoka... sasa kama umepangiwa mkoa huko nenda tu chief ila kama unaweza bet nenda kwenye mkoa ambao upo kama watakuhurumia....
 
Ni kweli mkuu, kwaio nikienda kwenye kituo pendwa wanaweza kunielewa? Maana nina sababu ya msingi sana tu.
 
Wakuu Habari,

Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.

Msaada wakubwa🙏
kwa kawaida hao psrs kwa hivi karibuni huwa hawashiki simu.

Kuhusu kubadili kituo cha usaili haiwezekani.
 
Back
Top Bottom