Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Pole sana mkuu, naamini utasaidika.Wakuu Habari,
Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.
Msaada wakubwa🙏
Nenda popote iyo ni onlineWakuu Habari,
Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.
Msaada wakubwa
Oral au written?Wakuu Habari,
Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.
Msaada wakubwa[emoji120]
Mkeka wa Afya chief!Pole sana mkuu, naamini utasaidika.
Nje kidogo ya mada, Ni mkeka wa afya mkuu? Au na Ualimu
Haiwezekani kabisa?Mkuu ni ngumu Santa hiyo kitu
Kumbe inawezekana mkuu!Nenda popote iyo ni online
Labda watu wakituo ndo wakukazie tu
Written kiongoziOral au written?
Mliambiwa muupdate taarifa kwenye portal hasa kwenye current address kabla majina hayajatoka... sasa kama umepangiwa mkoa huko nenda tu chief ila kama unaweza bet nenda kwenye mkoa ambao upo kama watakuhurumia....Wakuu Habari,
Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.
Msaada wakubwa🙏
Ni kweli mkuu, kwaio nikienda kwenye kituo pendwa wanaweza kunielewa? Maana nina sababu ya msingi sana tu.Mliambiwa muupdate taarifa kwenye portal hasa kwenye current address kabla majina hayajatoka... sasa kama umepangiwa mkoa huko nenda tu chief ila kama unaweza bet nenda kwenye mkoa ambao upo kama watakuhurumia....
Moja ya sifa kubwa ya interview ni kufuata maelekezo. Sasa we umeshindwa labda ubinadamu utumike kwa kiasi kikubwaNi kweli mkuu, kwaio nikienda kwenye kituo pendwa wanaweza kunielewa? Maana nina sababu ya msingi sana tu.
kwa kawaida hao psrs kwa hivi karibuni huwa hawashiki simu.Wakuu Habari,
Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao.
Msaada wakubwa🙏
Wanafanya simu au PCNenda popote iyo ni online
Labda watu wakituo ndo wakukazie tu
Hatari aiseeMoja ya sifa kubwa ya interview ni kufuata maelekezo. Sasa we umeshindwa labda ubinadamu utumike kwa kiasi kikubwa
Hatari aisee
Vipi kuhusu chance ya kufaulu interview kama sina connectionkwa kawaida hao psrs kwa hivi karibuni huwa hawashiki simu.
Kuhusu kubadili kituo cha usaili haiwezekani.
kawaida psrs wapo fair, binafsi nilipata kazi serikalini pasipo kua na connection ya mtu yeyote ni jitihada zangu binafi na maombi kwa Mungu.Vipi kuhusu chance ya kufaulu interview kama sina connection
OmputerWanafanya simu au PC