Funguka tu kwamba ulinunua mali ya ishu sasa unataka uitakatisheHabar wakuu
Nimenunu gari kwa madalali kama miaka 2 Sasa nipo mkoan huku ila hata hao madalali nimepotezana nao, ishu iliyopo nahitaji kubadili usajili wa kadi je nafanyaje wakati simjui mhusika yoyote
Asanten