Msaada: Kubadili usajili wa Gari

Msaada: Kubadili usajili wa Gari

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
Habar wakuu,

Nimenunu gari kwa madalali kama miaka 2 Sasa nipo mkoani huku ila hata hao madalali nimepotezana nao, ishu iliyopo nahitaji kubadili usajili wa kadi.

Je, nafanyaje wakati simjui mhusika yoyote?

Asanteni.
 
Habar wakuu

Nimenunu gari kwa madalali kama miaka 2 Sasa nipo mkoan huku ila hata hao madalali nimepotezana nao, ishu iliyopo nahitaji kubadili usajili wa kadi je nafanyaje wakati simjui mhusika yoyote

Asanten
 
Ulitakiwa upewe kadi, picha na photocopy ya kitambulisho cha mmiliki wa gari vinginevyo utapigwa endapo mwenye gari akijitokeza anachukuwa gari lake.
 
Back
Top Bottom