Msaada kucheck TIN number yangu online

Msaada kucheck TIN number yangu online

Kwani Kujisajili TIN namba online lazima uwe mfanyakazi wa serikali??
 
Msaada jamani, nimekwama ku register tin number online..nikiingiza national ID number na namba ya simu inaniambia "there is no details for the ID number provided" shida nini??au nakosea wapi msaada please.
 
Back
Top Bottom