Msaada kufanya Malipo HESLB kwa M PESA.

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Ktk hatua za kufanya malipo ya maombia ya Mkopo HELSB kw M - Pesa,
kumbukumbu ya Malipo ni ipi?
Nimeambiwa ni 1 but kwa nn inagoma?
Au kuna shida gani?
Msaada tafadhali?
 
Kumbukumbu ya malipo(ref number) ni index number yako ya form four(First seating )
 
Kumbukumbu ya malipo(ref number) ni index number yako ya form four(First seating )

mbona inagoma,
tafadhali nisaidie formati ya kuiandika
au ni hiv
S2029/0009 - 2012
au?
 
Ktk hatua za kufanya malipo ya maombia ya Mkopo HELSB kw M - Pesa,
kumbukumbu ya Malipo ni ipi?
Nimeambiwa ni 1 but kwa nn inagoma?
Au kuna shida gani?
Msaada tafadhali?
ukmalza firm 6 au diploma?
 
Ktk hatua za kufanya malipo ya maombia ya Mkopo HELSB kw M - Pesa,
kumbukumbu ya Malipo ni ipi?
Nimeambiwa ni 1 but kwa nn inagoma?
Au kuna shida gani?
Msaada tafadhali?
kama ulmalza form 6 njia hii hapa
 
Mkuu acha papara,kila kitu kimeelezwa jinsi ya kuandika. Soma!
namba ya shule.namba yako.mwaka uliomaliza

kumbuka ndoo nimeanza kufanya malipo kwa M Pesa, ukifuata zile hatua yaan
*150*00# ok
4. Lip kwa m pesa ok
3.chagua kwenye orodha ok
8.huduma za elimu ok
2.HESLB ok
Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (ndio ipi sasa ,au?
 
Watanzania wavivu wa kusoma aisee.kila kitu kiko wazi kwenye web ya heslb.
Sasa ngoja ukosee alafu uipate habari yake.
 
kumbuka ndoo nimeanza kufanya malipo kwa M Pesa, ukifuata zile hatua yaan
*150*00# ok
4. Lip kwa m pesa ok
3.chagua kwenye orodha ok
8.huduma za elimu ok
2.HESLB ok
Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (ndio ipi sasa ,au?

Mkuu nasisitiza tena ni bora uache hicho unachotaka kulipia, SOMA MAELEKEZO JINSI YA KULIPIA KWA MPESA kisha ndio ujaze. Una haraka ya nini?
Ukifika hatua hiyo kuna choise 1 na 2.
Chagua inayokupa nafasi ya wewe kuandika index number ya kwako wewe. Kisha iingize ila jitahidi uiweke kwa haraka ukichelewa itakuandikia error.
 
mbona inagoma,
tafadhali nisaidie formati ya kuiandika
au ni hiv
S2029/0009 - 2012
au?

mkuu lets assume namba ya shule ni S0112, namba yako ya mtihani ni 0045, na umemaliza 2015 hivyo namba yako utaiandika hivi:
S0112.0045.2015

Umeelewa sasa?
Nimeshindwa kuelewa hiyo ya kwako mana umeweka namba tu bila kusema kipi ni kipi ila i can assume ni: S2029.0009.2012
 

Kwa hiyo 2005 inabadilika na kuwa 2015??
Hiki kizazi kina shida kwa kweli.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kwa hiyo 2005 inabadilika na kuwa 2015??
Hiki kizazi kina shida kwa kweli.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Wewe hujui kudigest material? Kwa nilivyoeleza hapo ni wazi kwa mwenye uelewa ni typing error tu hiyo na wala si kitu cha kuhoji.
By the way nimeedit ndio mana jf kuna button ya "edit". Haya njoo na hoja nyingine
 

ahsante Mkuu ,
imekubali lakn nimeecounter shida nyingine ya link ya Online Loan Application (OLAS) Kutofunguka,
kuna shida gani wadau?
 
ahsante Mkuu ,
imekubali lakn nimeecounter shida nyingine ya link ya Online Loan Application (OLAS) Kutofunguka,
kuna shida gani wadau?

Unatumia browser gani?
Badili browser
Kama pc yako inatumia proxy nenda kwenye settings na deselect "use proxy"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…