Msaada kufanya mtandao wa simu upatikane Vodacom

Msaada kufanya mtandao wa simu upatikane Vodacom

ngakotecture

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2014
Posts
2,569
Reaction score
2,847
Habari wakuu

Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga.

Msaada wakuu ili niwe hewani.
 
Watimbie kwenye ofisi zao kama ziko karibu na wewe, au wapandie kwenye 100.
 
Nadandia kwenye huu uzi😂😂

Naomba kufahamu sababu za simu yangu inapopigwa na mtu mwingine inasema inatumika ilhali simu yangu ipo iddle haitumiki ipo full charge.... Natakiwa kufanyaje iwe inapatikana kila ninapopigiwa simu??

Asante
 
Nadandia kwenye huu uzi[emoji23][emoji23]

Naomba kufahamu sababu za simu yangu inapopigwa na mtu mwingine inasema inatumika ilhali simu yangu ipo iddle haitumiki ipo full charge.... Natakiwa kufanyaje iwe inapatikana kila ninapopigiwa simu??

Asante
Simu yako nia aina gani? Kika line unayoweka haipatikani? Ukitoa line ukaweka kwenye simu nyingine bado haipatikani?

Kama utaweka kwenye simu nyingine ikawa inapatika fanya hivi; factory reset simu yako kama bado flash simu.

Kama haipatikani waasiliana na watoa huduma wako.
 
Back
Top Bottom