daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
Hata two weeksKhaa watak maandaz yakae siku ngapi labda
Weka katika fridge
Ila sina uhakika na hii njia
Mi nanunua nakula siku ile ile sibakishiKwani wewe unatumia njia gani?
Hata two weeks
Nataka kuyapack na kuyauza,,Two weeks sbb hasa ni nini?![emoji23]
Mkuu nakusubiri kwa hamu ulete jibuNgoja nimuulize mama maana nikiwa high school Tabora alikua ananitengeneza vimaandazi flani shelf life yake hadi mwezi
Nitarudi
Mafuta ya moto yana kazi ya kufanya andazi lisiwe na hewa ndani baada ya hapo unaweka mafuta vijiko vitatu vya barid kwa kilo moja kijiko ni cha chakula hayo ya baridi ndio yanafanya andazi lisiwe kavu sanaNyumbani hua tunatengeneza maandazi na yanadumu hadi wiki (wavivu kula)... Sijui kam wiki mbili yatafika...
Unakandia mafuta ya moto.
Mkuu hayo maandazi ya supermarket yanakaa hata mwezi na hayaharibiki. Yanatengenezwa viwandani (sio lazima iwe kiwanda kikubwa) kwa kutwanga unga wa ngano sana na kwa muda mrefu.Helow wakuu
Msaada,,nataka kujua namna ya kufanya vitafunwa vikae bila kuharibika kwa muda mrefu,vitafunwa kama maandazi ,,mfano kama yanayouzwa supermarket,,yanawekwa nini ili yasiharibike
Aksnte in advance
Shukran mkuu,,nawish nikae anipe tuition ya nguvu,,kuna project nataka kuanza kuifanyaMkuu hayo maandazi ya supermarket yanakaa hata mwezi na hayaharibiki. Yanatengenezwa viwandani (sio lazima iwe kiwanda kikubwa) kwa kutwanga unga wa ngano sana na kwa muda mrefu.
Ngano inapigwa mpaka inalainika sana.
Kuna ndugu yangu amesomea hii kazi na anaifanya vizuri, unakula andazi lainiii
Yaan mim mwenyew sijapat jibTwo weeks sbb hasa ni nini?![emoji23]