Msaada: Kufanya vitafunwa vikae muda mrefu

Msaada: Kufanya vitafunwa vikae muda mrefu

Kwa urahisi kabisa maandazi yenyewe yanapotoka jikoni ni ya moto kwahiyo huwa si rahisi kua au kupata wadudu (bacteria au fungus) watayoyaozesha ili huu ufresh uendelee vifungashia vyao vinatakiwa eidha visiwe na hewa au vitibiwe ili kukinga na hao wadudu waharibifu..

Sasa locally vifungashio lazima navyo viwe treated kwahiyo ingiza kwenye micro wave kwa muda wa dk 5.. hapo uta extend shelf life hata kwa mwezi mzima ..

Ukiwa na kinyonya hewa kwenye vifungashio itakua vzr zaid sababu hewa uruhusu wadudu kujitengeneza na pia usababisha bidha kukamaa..
Mwisho usafi ni muhimu upunguza wadudu waharibufu.

Asante
 
Weka kwenye freezer inayoweza kumaintain baridi ya 00°F au -18°C.Ukiweka hiyo setting maandazi yanaweza kaa hata zaidi ya three month.Ingawa utahitaji kuwa na microwave kuyapasha.

Ili yawe fresh na yasiwe magumu utapasha kwa 25 second only.Na unapasha tu kwa ajili ya kuliwa,yakishapashwa hayarudishwi tena kwenye freezer.

Freezer inahifadhi chakula kwa muda mrefu ila baridi ikiisha chakula kinaharibika au umeme ukikatika.
 
Mahindi yakuchoma hayana mbwembwe jamani mwezi mzima unakula tu
 
Back
Top Bottom